4/13/2022

Polisi Wafunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Paul Makonda Kutaka Kuuawa
Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar Es Salaam amemshauri aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda kuwasilisha kituo cha Polisi tuhuma alizozitoa kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Hatua hiyo imekuja kufuatia Mkuu huyo wa mkoa mstaafu kuandika malalamiko kwenye mtandao wake wa kijamii, jambo lililoibua mjadala mitandaoni.

Makonda alidai kuwa kuna watu wanataka kuangamiza maisha yake.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger