4/20/2022

Nandy Afanikiwa Kuipata Page yake ya Instagram Baada ya KuhakiwaRasmi mwanamuziki @officialnandy amerudi katika mtandao wa instagram mara baada ya account yake kudukuliwa na wadukuzi wa mtandaoni. 

Nandy ambae ana jumla ya wafuasi million 6.3katika mtandao wa instagram alitoweka ghafla katika mtandao huo kwa zaidi ya wiki moja na siku kadhaa..

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger