AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wakala maarufu wa Wachezaji barani Ulaya Mino Raiola (54) amefariki dunia kutokana na kuugua. Raia huyo wa Italia alikuwa wakala wa Zlatan Ibrahimovic, Paul Pogba, Erling Haaland, Marco Verratti, Moise Kean, Henrikh Mkhitaryan, Gianluigi Donnarumma, Mario Balotelli na wengine. Taarifa za Kifo chake imethibitishwa na familia yake.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK