Rayvanny Ameondoka Utambulisho wake wa kuwa chini ya lebo ya WCB

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Staa muziki nchini na Mkurugenzi wa lebo ya #NextLevelMusic, Raymond Shaban Mwakyusa maarufu kama @rayvanny ameondoka utambulisho wake wa kuwa chini ya lebo ya @diamondplatnumz, @wcb_wasafi kwenye Bio ya ukurasa wake wa Instagram.

Hatua hiyo ya #Rayvanny inaachia maswali yanayoweza kuwapa nafasi baadhi ya mashabiki wa muziki na wafuatiliaji wake kuamini kuwa Msanii huyo kwa sasa hafanyi kazi chini ya lebo hiyo iliyosaini naye mkataba wa kibiashara mwaka 2016.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad