4/06/2022

Serikali inatarajia Kutangaza Nafasi za Kazi 32,000

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Wiki ijayo serikali inatarajia kutangaza nafasi za kazi 32,000 ili kupunguza upungufu wa watumishi hasa kwenye sekta za elimu na afya.

Lengo la serikali ni kuajiri watumishi 44,000 mwaka huu wa fedha, na tayari imeajiri watumishi 12,000, ikiwa ni ajira mpya na ajira mbadala.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger