4/10/2022

Serikali: Magari Chini ya Mwaka 2010 Yasiingizwe NchiniWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema magari yaliyotengenezwa chini ya mwaka 2010 yasiingizwe nchini

Amesema “Tanzania haitakiwi kuwa dampo kwa kuleta magari yaliyopitwa na wakati. Bunge letu limeshapitisha Sheria magari yote yanayoingizwa nchini yawe yametengenezwa baada ya mwaka 2010 kuja huku mbele. Huo ni wajibu wa TBS, lazima wajiridhishe na kuelimisha wanaoagiza magari”
Aidha, Waziri Mkuu ameitaka Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS) kuimarisha utendaji kazi wake ikiwemo kuacha kuchelewesha ushushaji wa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam

Jamii Forums

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger