4/28/2022

Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF limemtangaza Refa Atakayechezesha Simba na Yanga
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limemtangaza Ramadhani Kayoko kuwa ndiye mwamuzi atakaesimamia sheria 17 za soka kwenye mchezo NBC Premier League ambao utawakutanisha watani wa jadi kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC siku ya jumamosi kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Kayoko atasaidiwa na mwamuzi mwengine mzoefu wa Ligi Kuu Bara ambae pia amekuwa akishiriki kuchezesha michezo mbalimbali ya CAF, Frank Komba pamoja na Mohammed Mkono wakati mwamuzi wa mezani atakuwa Elly Sasii.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger