Kupitia Ukurasa wake Wa Instagram Ameandika haya Hapa:
"I can't wait for My Wedding, I Love You @krishndiku08" - Uwoya
Hii inaonyesha Kuwa Kuna Kitu kinakuja huenda Amepata mchumba Mpya , wazungu Wanasema time will tell
Hii Itakuwa Ni Ndoa Ya Pili Baada Ya Kuvunjika Ile Aliyofunga Mwanamuziki Dogo Janja Ambayo ilidumu Kwa Muda mchache Sana
HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE
0 Blogger:
Post a Comment