Taarifa rasmi kutoka tovuti ya klabu ya Orlando Pirates, inasema kuwa hali ya beki wao Paseka Mako inaendelea vyema baada ya kuanguka uwanjani kufuatia kugongana na Kipa wake Ofori
Pirates wanasema baada ya uchunguzi wa awali Madaktari wamethibitisha hakuna madhara makubwa kwenye ubongo na leo wataendelea na vipimo vingine
HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE
0 Blogger:
Post a Comment