4/20/2022

This is Africa..Mabasi 89 Yaliyotumika Afcon 2021 Cameroon Yameibiwa, Hayajulikani Yalipo


CAMEROON: MABASI 89 YALIYOTUMIKA AFCON 2021 HAYAJULIKANI YALIPO - Miezi miwili baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON), mabasi 89 kati ya 90 yaliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kusafirisha timu hayajulikani yalipo huku basi 1 lililotumiwa na Timu ya Taifa ya Cameroon ndio linajulikana lilipo - Kumeibuka tetesi kuwa Wafanyakazi waliohusika katika usimamizi wa michuano hiyo hawajakamilishiwa malipo yao. Mamlaka husika hazijatoa tamko rasmi kuhusu tetesi hizo #JamiiForums #AFCON2021

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger