4/14/2022

Ujauzito wa Rihanna; Kila Siku Yupo Barabarani..Atupumzishe Kidogo

 Huyu dada tokea apate mimba amekua anazurura sana.

Kila siku anapigwa picha na paparazzi yupo sehemu tofauti tofauti.

Hivi huwa anaendaga wapi? Au mimba yake aliipatia akiwa kwenye ziara 

Kwa kweli nimechoka kila siku kumuona yeye tu na ajifungue apumzike na sisi pia tupumzike.

Kila siku kitumbo jujuu kama yeye ndo wa kwanza kupata mimba hapa duniani.


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger