Ukatili wa Hali ya Juu..Bibi Amuua Mjukuu Kwa Maji ya Moto KISA Kujisaidia

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA 

Mtoto mwenye umri wa miaka minne mkazi wa Kijiji cha Lyabukande, Halmashauri ya Shinyanga amefariki dunia baada ya kupigwa fimbo na bibi yake kisha kumwagiwa maji ya moto kutokana na kujisaidia hovyo huku mdogo wake mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu akijeruhiwa kwa fimbo.


Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga George Kyando, amesema tukio hilo limetokea majira ya saa 11:00 katika kijiji hicho baada ya bibi yao Tatu Moshi, kuwapiga kwa fimbo wajukuu zake wawili kisha kummwagia maji ya moto tumboni na miguuni mtoto mmoja na kusababisha kifo chake huku mwingine akijeruhiwa.

"Inasemekana amekuwa akiwaadhibu mara kwa mara wajukuu wake kwa madai kuwa wamekuwa wakijisaidia hovyo katika mazingira yake, hivyo amekuwa akiwaadhibu na kuwaachia majeraha mabaya katika miili yao, ukatili huu ni wa muda mrefu  na majirani wanaona,  na mama mzazi alikuwa anaona watoto wake wanafanyiwa ukatili lakini hawasemi hivyo mnatakiwa muondoe ukimya" amesema Kamanda Kyando.


Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. This post is really magnificent. I really like this post. It is one of the best posts that I ve read in a long time. Thanks a lot for this really good post. I really appreciate it 스포츠토토사이트

  ReplyDelete
 2. Thanks for the blog filled with so many information. Stopping by your blog helped me to get what I was looking for. Now my task has become as easy as ABC. 사설토토사이트

  ReplyDelete
 3. Most people, including me, agree with you, but you shouldn't forget that people who don't. We need to persuade them. For a better world! I want to collaborate with you to overcome these hardships. Please come to my blog below and contact me.  By: 토토사이트

  ReplyDelete
 4. Incredible post I should state and much obliged for the data. Instruction is unquestionably a sticky subject. Be that as it may, is still among the main themes of our opportunity. I value your post and anticipate more. 메이저저사이트

  ReplyDelete
 5. When did it start? The day I started surfing the Internet to read articles related to . I've been fond of seeing various sites related to 안전놀이터 around the world for over 10 years. Among them, I saw your site writing articles related to and I am very satisfied.

  ReplyDelete
 6. It’s perfect time to make some plans for the future and it’s time to be happy. I’ve read this post and if I could I want to suggest you some interesting things or suggestions. 카지노사이트

  ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad