4/10/2022

Utata Chanzo cha Kifo cha Muimbaji wa Wimbo Ekwueme, Osinachi

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPAKumekuwa na taarifa nyingi mtandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu kifo cha muimbaji wa Injili wa nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu ambapo kwa taarifa za awali zilidai alifari baada ya kuugua kwa muda mfupi na ugonjwa wa Kansa.


Tetesi mpya zinadai kifo chake kimetokana na unyanyasaji wa katika ndoa wa vipigo toka kwa mume.

Rafiki wa marehemu Chidinma Ego na marafiki wengine wamekuwa wakiomboleza na kutoa habari iliyofichua kuhusu unyanyasaji wa nyumbani katika ndoa ya marehemu.

Inasemekana wiki kadhaa kabla ya kifo chake alipigwa sana na kumkanyaga kifuani alikimbizwa hospitalini ambapo alikaa kwenye coma siku 5 akipambania maisha yake.


Inasemekana mume huyo anashikiliwa na polisi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger