4/29/2022

Vanessa Kuja Bongo Afunguka "Sijamzika Kaka Yangu, Sijamleta Shemeji Yenu, Sijamleta Seven"

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPAKupitia Insta Live aliyofanya, Mwanamuziki Vanessa Mdee amemjibu shabiki aliyeuliza ni lini Msanii huyo atarudi Tanzania, Vanessa amedai atakuja nchini hivi karibuni, kuna vingi vinamfanya aje, kwanza hakuwepo wakati wa mazishi ya kaka yake,pili bado hajamleta shemeji yetu Rotimi  pamoja na Seven (mtoto wao, Vee & Rotimi). Hivyo lazima aje Tanzania hivi karibuni.

Unammis kwa asilimia ngapi, Vanessa Mdee kwenye game?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger