Viwango Vipya vya Nauli za Daladala na Mabasi ya Mikoani Vyatangazwa


Mamlaka ya udhibiti usafiri ardhini LATRA imetangaza imetangaza viwango vipya vya nauli za daladala na mabasi ya mikoani.

Katika viwango hivyo vipya nauli ya kutoka DSM kwenda BUKOBA kupitia DODOMA ambapo ni umbali wa kilometa 1,423 itakuwa ni shilingi 80,000 kutoka 68,000 iliyokuwa ikitumika awali.

Kwa mabasi ya mjini kuanzia Kilomita 0 hadi 10 nauli itakuwa Sh500 badala ya 400 na nauli ya Sh450 itakuwa ni 550.

Aidha kiwango cha nauli kwa mabasi ya mjini yanayofanya safari za umbali wa kilometa 16 -20 itakuwa ni shilingi 600 kutoka ile ya shilingi 500 iliyokuwa ikitumika hapo awali huku mabasi yanayofanya safari kuanzia kilometa 26 - 30 nauli mpya ni shilingi 1100 kutoka shilingi 750 ya awali.

Viwango hivi vya nauli vitaanza kutumika kuanzia May 14 Mwaka huu.

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad