Vurugu Show ya Harmonize Kenya, Aimba Dakika Moja na Sekonde 24 tu..Wakenya Wacharuka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Koh koh Koh a.k.a Bakhresa Also Known As Harmonize Yupo Pande za 254 Kenya Mwenyewe Anasema Ni Muendelezo Wa Tour Ya Afro East Na Leo Usiku Ana Perform At KICC
Lakini Jana usiku alikua na Tukio Ndani ya Captain’s Club Athi River
Inasemekana eti Party Hiyo iliisha Vibaya, Kutokana na Vurugu zilizoanzishwa na Mashabiki, Kutokana na Kutoridhishwa Burudani ya Muda Mfupi Iliyotolewa na Harmonize
Inasemekana alishika Mic na Ku Perform kwa Dakika 1:24, then akarudisha mic
Inasemekana eti, Kitendo hicho kiliwaudhi mashabiki wakaanza kuleta vurugu
Kwa mujibu wa blog ya Sauti.co.Ke wameandika kuwa BodyGuards Wa Harmo walifanikiwa kumchomoa Super Star Huyo, na huku nyuma Comedian Eric Omondi alishambuliwa kwani yeye ndie aliekua Mc Wa tukio hilo

Kiingilio kwenye Party Hii kilikua Normal 1000 Ksh, V.I.P 2000 Ksh, na V.V.Vip 5000 Ksh

Polisi waliitwa na kufanikiwa kuzima Fujo hizo.

#SoudyBrown
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad