4/28/2022

Wakala Maarufu wa Michezo Mino Raiola ‘aibuka’ Hospitali, ashangazwa na taarifa za kifo chake

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPAWakala Mino Raiola aibuka akiwa kitandani Hospitali na kukanusha taarifa za kifo chake ambazo zimeonekana kuenea kwenye vyombo mbali mbali vya habari.”Hali ya afya ya sasa kwa wale wanaoshangaa: Nikichukizwa mara ya pili katika miezi 4 wananiua. Inaonekana pia kuwa na uwezo wa kufufua,”- Mino Raiola

Raiola ameonekana kukanusha taarifa hizo kwa ujumbe wake wenye kujaa hasira, kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa twitter.


Mapema taarifa kupitia mitandao mikubwa ya michezo barani Ulaya iliandika taarifa za kifo cha wakala huyo mashuhuri Ulimwenguni.
Ujumbe wa Real Madrid ukionesha kuuzunishwa na taarifa za kifo za Raiola kabla ya mwenyewe kujitokeza hadharani na kukanusha.

Imeandikwa na @fumo255

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger