4/12/2022

Watu Sita Wamefariki na Wengine 19 Wamejeruhiwa Ajali ya Gari Tanga


Watu sita wamefariki na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka wilayani Korogwe, Tanga.

Chanzo cha ajali hiyo kimeelezwa kuwa ni mwendokasi wa gari aina ya Coaster, ambalo lilimshinda dereva ndipo likaacha njia na kupinduka.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger