Wema Sepetu Atoa Neno "Lulu Michael ni Mdogo Wangu Naweza Mpiga Hata KOFI, Mkiona Tunagombana Tulia"

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPABaada ya Video clip iliyosambaa sana mtandaoni ikiwaonyesha mastaa wa Bongo Movie, Wemam Sepetu akiwatimua nyumbani kwake wasanii wenzie IRENE Uwoya pamoja na Lulu Michael huku mastaa wengine kama Aunty Ezekiel ,Jack Wolper , Kajala Masanja wakijaribu kutuliza ishu hiyo,siku tatu baadae, Mastaa hao sita wameonekana wakiwa pamoja na wenye furaha ya kutosha.

Hasa Miss Tanzania 2006, Madam Wema Sepetu ameweka wazi kilichotokea,akiongea na waandishi amedai, kilichotokea ni kutoelewana tu baina yao na wala haikuwa ishu kubwa kama inavyo chukuliwa, amekiri kugombana kupo kwenye maisha na ni kawaida ila wao ni familia na ukizingatia Lulu ni mdogo wake na anaweza hata mpiga kibao, hivyo amewataka watu wakiona wamegombana au kukwazana basi wasishadadie maana ndugu wagombanapo,ni jembe ndilo linahusika kushikwa na kuelekea nalo shambani.

Wema pia amedai wana projects kubwa zinakuja kama Drama Queens lakini pia wao wanajiita Big Six.

All the best Drama Queens


 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA


 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad