4/16/2022

Young Dee Ampa Heshima yake Mr Blue "Bila Yeye Ningechelewa Sana"


Real recognize Real hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya rappa @youngdaresalama kuonyesha heshima yake kwa Mr Blue kwa kutambua mchango wa mkali huyo katika safari yake ya kimuziki.

Dee ameweka wazi kwamba kama @mrbluebyser1988 asingekuwepo basi watu wangechelewa kumjua. "Angechelewa Young Dee kama Asingekuwepo Mr Blue" - ameandika Young Dee akiambatanisha na picha ya Mr Blue kupitia insta story yake.

Blue ambaye ana mchango mkubwa kwa wasanii wengi nchini, ana historia ya kuvutia na Young Dee ya tangu kipindi hicho, Dee akiwa bado rappa mdogo.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger