Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo amesema wale wanaompenda sana Magufuli waende Chato wakachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Magufuli kisha wajizike
Zitto amesema zamani watu ambao ni walikuwa ni viherehere wanaojidai wanawapenda sana wafalme au watemi walikuwa wakizikwa pamoja na wafalme hao walipokuwa wanazikwa
Zitto alieleza pia Magufuli bila kufuata Taratibu alitoa tenda nyingi kwa kampuni yake ya Mayanga Construction ya kujenga kiwanja cha kimataifa cha ndege Chato wilaya aliyotoka Magufuli, na kusema hakuna Rais katika historia ya Tanzania amewahi kufanya hivyo
Tazama VIDEO Akiongea:
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
________________________________
Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE
0 Comments