Ticker

6/recent/ticker-posts

Angella Konde Gang"Mimi Bado Binti Mdogo, Nipo Single"First Lady wa Konde Gang Music Worldwide Anjella Tz anasema yeye bado ni binti mdogo ndio maana yupo 'Single' kwa sababu hawezi ku-control mapenzi na kazi kwa hiyo hawezi kujihusisha na mambo hayo
Anjella anasema kwa sasa ame-focus kwenye masuala ya kazi na hataki kufa maskini hivyo lazima apambane kwanza mambo mengine ni baadaye

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments