Ticker

6/recent/ticker-posts

Baada ya Kushambuliwa na Wanigeria Kwa Kuwakosea Heshima Wizkid na Burnaboy, Diamond Platnumz Arekebisha Maelezo ya Profike yake Apple Music

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>

 

Wizkid na Burnaboy, Diamond Platnumz

Msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, amerekebisha maelezo yaliyopo kwenye profile yake ya Apple Music baada ya Wanigeria kumjia juu wakidai kawakosea heshima wasanii Burna Boy na Wizkid


Maelezo ya Awali, Diamond aliandika kuwa 2020 alikuwa msanii wa kwanza kufikisha zaidi ya views Bilioni 1 YouTube ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara akiwazidi Wizkid ambaye amekuwa mkubwa kupitia Drake (Drake-Boosted Wizkid) na Burna Boy aliyekuzwa na P Diddy.


Baada ya WaNigeria kumjia juu, Diamond amehariri na kuandika 2020 alikuwa msanii wa kwanza kufikisha views zaidi ya Bilioni 1 ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara.


Haijulikani ni Diamond mwenyewe aliandika hivyo au ni mtu kutoka kwenye timu yake, WaNigeria wengi wakitafsiri ni namna ambavyo Diamond amekuwa akitafuta attention.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments