Baada ya Kuwaa Unfollow WCB Nzima, Paula Amu Unfollow Mama yake na Kumfuta Katika Bio yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya tetesi kuwa nyingi kuwa Kajala amerudi kwa Harmonize, tetesi hizo zimeendelea kuchukua uzito baada ya Kajala kuwadondoshea unfollows Rayvanny, Diamond pamoja na WCB nzima.

Hasa wakati Kajala analifanya hilo, mtoto wake, Paula Kajala,amempunguza mama yake kwenye Bio yake ya Instagram na kubakiza neno, Daughter of Majani (username ya Instagram ya baba yake) tofauti na mwanzo ambapo aliweka na jina la mama yake, Paula hajaishia hapo, kamuunfollow Mama yake, Na kajala pia akimuunfollow mwanaye, patamu hapo. (Swipe👉)

Haya tawanyikaaaa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad