Ticker

6/recent/ticker-posts

Baada ya Show yake Billboards Music Award Jana, BURNA Boy Awake Rekodi Hii..Kina Diamond Platnumz Wakasome

Baada ya Show yake Billboards Music Award Jana, BURNA Boy Awake Rekodi Hii..Kina Diamond Platnumz Wakasome

Wakati tunaendelea kama watanzania kujivunia rekodi ya Rayvanny kuwa msanii wa kwanza tokea Afrika kufanya perfomance kwenye tuzo kubwa za MTV EMAs, chukua hii, Baada ya kufanya Show yake kwenye usiku wa tuzo za Billboard Music Awards siku ya jana Mei 15, msanii Burna Boy ameandika historia ya kuwa msanii wa kwanza tokea Afrika kufanya performance kwenye tuzo 4 kubwa duniani,

Hadi sasa Burna Boy amekuwa msanii wa Kwanza tokea Afrika kufanya Performance kwenye tuzo hizi, The Grammys ,BET Hip Hop Awards, BRIT Awards na Billboard Music Awards.


Odogwu is way too big.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments