AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baba Levo Akiwa kwenye Kipindi cha #refresh cha #wasafitv Amefunguka kuwa Atafunga Safari kwenda Uturuki kufanya Upasuaji wa Pua na Kitambi maana amekuwa akichekwa sana Muonekano wake.
''Naenda Uturuki Kuhakikisha Nafanya Surgery Ya Pua Maana Nimechekwa Vya Kutosha, Sasa Ni Muda Umefika Niende Kufanya Surgery Niende Nikate Pua Niwe Handsome Boy,Itagharimu Kama Milioni 46 Za Kitanzania Kwasababu Ni Pua Na Kitambi" @officialbabalevo
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK