Ticker

6/recent/ticker-posts

Barnaba na Post Malone wachafua dhambi za Fashion

 


Hizi ni dhambi za Fashion unaweza kusema hivyo tena kwa sauti ya mtangazaji Deogratius Kithama pale kwenye Nirvana ya East Africa TV kila siku ya Alhamisi saa 3:00 usiku.

Ni muonekano wa picha mbili tofauti wa msanii Barnaba Classic na Post Malone kutoka Marekani wakiwa wametupia mavazi ya sketi vazi ambalo huvaliwa zaidi na wanawake.

Kivazi cha msanii gani kimempendeza hapo zaidi?

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments