Basi la Super Feo Lapata Ajali Tunduru, Ruvuma… Dereva Halima Adaiwa Kukatika Mkono

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Basi la Super Feo linalofanya safari zake Songea – Dar kupitia njia ya Lindi limepata ajali asubuhi ya leo Jumapili Mei 22, 2022 katika eneo la Kijiji cha Hulia Wilaya ya Tunduru na kusababisha majeruhi kadhaa akiwemo Dereva Halima Mbwana ambaye amedaiwa kukatika mkono.

Halima, mama wa watoto watatu, alipata umaarufu hivi karibuni kwa kuwa ni dereva wa kike anayeendesha basi la abiria aliyeanzia kuwa kondakta kabla ya kwenda kusomea udereva, amekimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi

Kamanda wa Polisi Ruvuma, Joseph Konyo amekiri kutokea kwa ajali hiyo na kusema atatoa taarifa kamili baadaye.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad