google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Beka Flavor Athibitisha Kuachana na Mama Mtoto Wake "Tunalea Mtoto Wetu Kama Wazazi" | UDAKU SPECIAL

Beka Flavor Athibitisha Kuachana na Mama Mtoto Wake "Tunalea Mtoto Wetu Kama Wazazi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Licha ya kuonekana nyuso zao zikiwa zenye bashasha kwenye usiku wa Listening Party ya FIRST BORN ALBUM ijumaa ya tarehe 20 mwezi huu, msanii Beka Flavour amekana kurudiana na Mama mtoto wake, Happy Reuter na kudai kila mmoja ana maisha yake na wao hukutanishwa na mtoto wao tu kama wazazi. Haya ameyaongea Beka Flavour akiwa kwenye Empire ya EFM, hii Leo Mei 23.

Beka na mzazi mwenzie waliachana sababu kubwa zikiwa ni wivu wa kimapenzi na kutoheshimiana baada ya Happy kufanya kazi ya Uvixen kwenye music video ya Ibraah toka Konde Gang ingali kazi yake ilikuwa ni kufanya Makeup pekee.

Beka akimtuhumu Happy kutomuheshimu na kujihusisha na uvixen bila kumtaarifu,huku Happy akiamini kinacho msumbua Beka ni wivu uliopitiliza.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad