5/15/2022

Benard Morrison Alivyoibuka Uwanjani Kama Shabiki, Ashuhudia Mechi ya Simba

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPAItakumbukwa kwamba Mabingwa watetezi, Simba SC wamefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la FA baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Pamba FC ya Mwanza.

Mabao ya Simba kwenye mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam yalifungwa na Peter Banda, Kibu Denis na
Yusufu Mhilu.

Wakati Simba ikipata matokeo hayo, Bernard Morrison alikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger