Bob Junior Amshukia Vikali Juma Lokole "Nina Mchango Mkubwa Sana Kwa Mafanikio ya Boss wako Diamond Platnumz"

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA



Mwanamuziki Bob Junior Ameandika haya Kupitia Kwenye Ukurasa wake wa Instagram:

Kwanza kabisa @jumalokole_02 umenikosea sana sanaa unajua brand yangu nimepigana vipi mpaka leo nina heshima unawezaje sema kwa management gani ambayo ninayo au nina nini wewe unanifaham mimi still unasema hakuna nilichofanya huyo boss wako aliekuajiri wewe @diamondplatnumz mimi ndo mtu wa kwanza kufanya nae kazi hadi kufikia hapo nina mchango mkubwa mnoo kwa @diamondplatnumz album nzima KAMWAMBIE nimeifanya mimi kama producer @bobjuniortz we leo unakuja sema kwani uyo bob kafanya nini kumtoa @bongelanyau kwani sio msanii ungemtaja kama sio brand unakosea sana watu heshima nimefanya kazi karibia nusu ya wasanii wa bongo flavour nakupa list ya watu wachache niliofanya nao kazi naanza na boss wako ambae mimi ni hangaika nae tukiwa hatuna hata shilling mia we unalijua hilo wewe unaweza mjua @diamondplatnumz kuliko navyo mjua mimi @jumalokole_02 heshima ifate mkondo wake sanaa Nimefanya kazi na @diamondplatnumz @officialalikiba @jidejaydee @rommyjonson @topc @bongelanyau @cassemmganga @magwea @godzillah @iamlavalava @chidbenz @mrbluebyser1988 @officialbabalevo @linexsundaymjeda @jchameleon @richmavoko @tundamantz @matonyambili Na wengii zaidi why useme hakuna nilichofanya na why useme kwa management gani ambayo ninanyo kwanini huheshim watu... @wemasepetu bado tena nayeye unamkosea unasema nimetembea nae zamani je unauhakika gani hili la @wemasepetu tutaenda kisheria maana unakuwa kama unamtusi dada wawatu hamuishi kumchafua soo tutatoa mfano kwako kwakudhalilisha leo naishia hapa Gazeti la pili litafata kesho umenikwaza sanaa sanaa...


Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad