AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Dar es Salaam. Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam imeridhia wabunge 19 wa Viti Maalum ambao wamevuliwa uanachama na Chadema kuendelea na ubunge mpaka maombi yao ya kibali cha kufungua kesi kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho ulioridhiwa na Baraza Kuu wa kuwavua uanachama yatakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.
Mwananchi
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK