5/31/2022

Breaking News: Ndege Aina ya Bombadier yapata ajali Kigoma

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Ndege ya Shurika la Ndege la Tanzania Namba 5H-TC 219 iliyokuwa na safari ya Kigoma – Dar es salaam leo Jumanne (Mei 31) imeshindwa kuendelea na safari baada ya kugonga Ndege aina ya Herron na kusababisha kuharibu Nosecut ya Ndege, Ndege hiyo imepata ajali wakati inatua (Landing) kutokea Nchini Burundi.

Taarifa zilizotufikia Dar24 Media zimeeleza kuwa Ndege hiyo ilitakiwa kurejea Dar es salaam, saa chacha baada ya kuwasili mkoani Kigoma.

Ndege hiyo ilikuwa na Abiria idadi 13 Transt na waliokuwa wanaondoka Departure kutokea Kigoma idadi 60 na kuwa na jumla ya Abiria idadi 73, Abiria hao wamepelekwa Hotelin kwa mapumziko mpaka hapo kesho.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger