5/04/2022

Card B Afunguka "Usitamani Kuwa Maarufu Tamani Kuwa Tajiri"CardiB Anasema Kwamba Umaarufu Si Kitu Kizuri Kwa Upande Wake Na Kuwataka Watu Wasitamani Umaarufu bali Watamani Kuwa Matajiri

"Usitamani Kuwa Umaarufu, Tamani Kuwa Tajiri, Ukiwa Maarufu Huwezi Kuwa Huru, Huweza Kufanya Utani, Hata Kumasahihisha Mtu Yani Huwezi Kufanya Lolote ...Hakika Mimi Ni Mfungwa Mpuuzi Wa Umaarufu...Sina Sauti Tena, Siwezi Kusema Chochote Na Nitafuta Account Zangu Zote Kwenye Mitandao Ya Kijamii" - Cardi B

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger