5/07/2022

Chris Rock Amkejeli Will Smith “Nilishambuliwa na Rapa Mlaini Hajawahi Tokea”


Tunakumbuka March 28,2022 kwenye ugawaji wa tuzo kubwa na zenye heshima duniani, Oscar Awards kulitokea sintofahamu baada ya muimbaji (Rapa) na muigizaji Will Smith kumtandika kibao kizito Comedian na aliyekuwa Host wa tuzo hizo kwa msimu huu, Chris Rock baada tu ya kumdhihaki Mke wa Will Smith, Jada Pinkett Smith.

Hasa Mei 05 mwaka huu, Kwenye Netflix is Joke Comedy Festival, mchekeshaji Dave Chappelle alishambuliwa na baada ya kurudi stejini akamtania Chris Rock kuwa “angalau ulishambuliwa na mtu ambaye sifa zake zinajulikana,mie nimeshambuliwa na kijana hasiye na makazi na mwenye majani kwenye nywele zake” Chris Rock akajibu “Nilishambuliwa na Rapa mlaini hajawahi tokea”

Mbali na uigizaji ikumbukwe Will Smith ni Rapa na ametoa nyimbo kibao kama Switch, Getting wit it,Miami n.k

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger