Diamond Hanunui Private Jet Kwa Ajili ya Show Off , Ataja Sababu Hizi Muhimu ya Kuwa na Ndege

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya tamko lake kwa maandishi hapa Instagram wiki iliyopita, Dozen Selection hatimaye tumefanikiwa kuipata Exclusive ya @DiamondPlatnumz akitangaza kutaka kununua ndege yake binafsi ambayo amedai itafika Tanzania mwaka huu, kabla ya Siku yake ya Kuzaliwa. Akiwa nchini Ivory Coast kwenye mkutano na Waandishi wa habari, Diamond alisema;

“Ndio, nanunua ndege binafsi (private jet), sio kwamba labda nataka kujionesha hapana ni kwa sababu inanibidi. Ukiangalia kwenye ziara yangu ya dunia (World Tour) sasa hivi nina show nyingi na natakiwa kusafiri karibu kila wiki kwenye mataifa tofauti tofauti.”

“Ukiangalia idadi ya watu ambao nasafiri nao, kiasi nachotumia kwenye usafiri ni bora kuwa na ndege yangu ili niweze kuokoa kiasi kikubwa cha fedha. Haijafika bado, itakuwa tayari nchini mwaka huu, kabla ya Siku yangu ya Kuzaliwa (Oktoba 2)
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad