JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
From Edokumwembe
"Vile naangalia baadhi ya viongozi wa zamani wa Simba wakipambana kuivuruga timu yao....wanahaha kweli kweli. Nilidhani Katiba mpya waliopitisha itaondoa haya mambo. Aah wapi. Simba wanamaliza wa pili katika Ligi, robo katika Shirikisho, nusu katika FA...lakini watu wanataka kuifanya ionekane imefanya vibaya kama Prisons tu.... "Edo Kumwembe
0 Blogger:
Post a Comment