5/27/2022

Fundisho: Ukaribu wa Diamond Platnumz na Mwijaku Washangazwa Wengi...Ya Mitandao Tuyaache Mtandaoni

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

May 28 itakuwa ni muendelezo wa FOA WORLD TOUR,ambapo kwa mara ya kwanza toka aachie EP yake ya FOA, Diamond Platnumz anaenda kuwaburudisha wana Mwanza.


Hasa kwenye Msafara wa Diamond hii leo May 27 jijini Mwanza, @mwijaku pia kaonekana, jambo ambalo limewashangaza wengi, na mitandaoni Comments nyingi hazihusiani na show ya FOA, bali ni namna ukaribu wa Diamond na Mwijaku ulivyo. Hakuna hasiyelijua jina la Mwambino,hakuna hasiyejua namna ambavyo mwijaku anamponda sana Diamond, na wengi wamezidi kushangazwa kuona Mwijaku ni sehemu ya msafara wa Diamond huku wakifurahi pamoja.


Mwijaku anatoa somo gani kwenye maisha yako?😁 mambo ya mitandanoni yaache mitandaoni,nje na mitandao, watu wanaelewana vyema.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger