5/29/2022

H Baba Ampa SIFA za Kumwaga Diamond Platnumz "Nimelipwa Mamilioni Kuwa Balozi wa Wasafi Bet"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Kutoka kwa mwanamuziki h.baba_ ameweka wazi kulipwa kiasi kikubwa cha fedha na wanamuziki @diamondplatnumz kuwa balozi wa kampuni yake ya michezo ya kubashiri ya #wasafibet.H.baba ambae ni mwenyeji wa mwanza ambapo diamond platnumz ameacha historia kwa kufanya show kubwa ya kuitambulisha EP yake ya FOA ,ametumia instagram page yake kutoa pongezi na shukrani kwa msanii huyo na uongozi mzima wa WcB, ambao awali alionekana kuwarushia maneno kwa ajili ya kumsapoti mwanamuziki @harmonize_tz
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger