5/30/2022

H Baba "Diamond Platnumz Una Roho ya Kipekee Peponi Moja kwa Moja"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Msanii H Baba amekiri kumkosea Diamond Platnumz wakati akiwa anamzungumzia kwenye baadhi ya interview na mitandao ya kijamii.

Picha ya H Baba kushoto akiwa na Diamond Platnumz upande wa kulia

H Baba ameshea ujumbe huo kwenda kwa Diamond kwa kuandika kwamba

"Binadamu tujifunze kuomba msamaha kwa mtu uliemkosea, nakiri mbele yenu nilimkosea sana Diamond Platnumz narudia nisamehe. Ukweli nimeujua we ni mtu wa watu kweli kweli"

"Una roho ya kipekee sana sijawai ona, kwa kweli wewe ni peponi moja kwa moja, kumsamehe H Baba peponi moja kwa moja Sallam SK, Babutale na Mkubwa Fella peponi moja kwa moja"

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger