5/26/2022

Haji Manara Afunguka Kuhusu Wachezaji Waliofukuzwa "Ni Kweli Waliondoka Kambini na Kurejea Alfajiri"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara ameeleza kuhusu kusimamishwa kwa wachezaji wa Klabu hiyo Saido Ntibazonkiza na Dickson Ambundo.

"Ni kweli wachezaji hawa kocha Nabi ameamua kuwasimamisha kwa wiki hii na baadae wakija Dar Es Salaam, watazungumza nae pamoja na uongozi kuona nini kitakachoendelea" amesema Haji Manara

"Ni kweli Saido na Mwenzake baada ya kumaizika kwa mchezo dhidi ya Biashara waliondoka kambini na wakarejea alfajiri hivyo kitendo hicho kimemfadhaisha kocha na uongozi wa klabu ya Yanga kwa ujumla" Amesema Haji Manara
Times FMMiche

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger