Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>
Msemaji wa yanga @hajismanara amuandikia haya Bernard Morrison kupitia ukurasa wake wa instagram👇👇
"Kila la kheri huko uendako. kwa taarifa nilizopata mida hii, najulishwa unaelekea Club kubwa Barani Afrika, Sijajua ni Team gani,,ila najua ni Club ya kisawasawa ndani ya Continental hili kubwa. Lecturer Bernard Morrison Insha'Allah utapata University ya kweli soon. Ila Chonde Chonde huko uendako,,Tabia tumia za Hersi Said @caamil_88 , Busara tumia za Senzo Mbatha @football_senzo na Maarifa tumia ya Bugati, zako mwenyewe ziache ulipotoka 🤪🤪 @bm3gh "
Kwa upande wako unakipi cha kumwambia Morrison?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
________________________________
Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE
0 Comments