5/22/2022

Haji Manara Atia Neno Baada ya SIMBA Kutoka Droo na Geita Gold "Nilichelewa Kurudi Yanga"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Alhamdulillah πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»

Acheni nimshukuru Muumba wangu Kwa kila kitu,sijui kama unajua Bugati anakuwa Binadamu wa kwanza Mtanzania katika Karne hii kushinda Mataji Matano mfufululizo ya Ubingwa wa ligi kuu Ya Bongo ?

Medali yangu na Yanga ina maana kubwa mno katika Historia ya Soka la Tanzania.

Sio tu kwa Wasemaji bali kwa binadamu yoyote yule, hayupo mtu aliyeshinda Mataji matano Kwa mpigo ila Haji Manara.

Yes Baba yangu Kitwana Manara nae alifanya hvyo akiwa Yanga SC kuanzia 1968/72 kama Mchezaji,,Mwanae nakwenda kufanya hvyo kama Msemaji tena katika Club tofauti,.

Unadhani nna bahati? Noooooooo, nanusa harufu ya Mafanikio na Nilichelewa Kurudi Club hii ya Watu,,kisha namuomba sana Mungu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger