5/31/2022

Haji Manara Atoa Neno Baada ya Kocha Wasimba Kufukuzwa "Wewe ni Kocha Bora Mwenye Nidhamu"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Haji Manara Atoa Neno Baada ya Kocha Wasimba Kufukuzwa:

"Kocha Bora mwenye nidhamu kubwa na mapenzi mazito na football pamoja na Wachezaji wake anaondoka nchini.

Pamoja na kufanya kazi katika Mazingiza magumu ya kukosa Proper Management iliyogubikwa na Migogoro isiyoisha, Jamaa aliiwezesha Club yake kufika Robo fainali ya Shirikisho.

Binafsi ntammiss kwa uungwana wake na ucheshi wake.

Kila la kheri Rafiki yangu Pablo, Kwa msimu huu tu wewe ni Kocha wa pili kufukuzwa na naamini hadi msimu uishe tutasikia mengi'
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger