5/23/2022

Haji Manara Atupa Dongo Lingine Simba "Sio Mbaya Mtajipanga Kwa Miaka ijayo Mkipata Akili na Kupunguza Uchawi"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Haji Manara Ameandika haya Kupitia Instagram:

"Sio mbaya mtajipanga Kwa Miaka ijayo mkipata akili na kupunguza uchawi.

Halaf Wananchi mbona mna siri sana, kumbe katika mechi sita zilizopita za Makolo, wameshinda mechi moja tu na sare tano? Halafu hamsemišŸ˜³

Makolo 0 Polisi 0

Makolo 0 Yanga 0

Makolo 2 Namungo 2

Makolo 4 Ruvu 0

Makolo 1 Azam 1

Makolo 1 Geita 1

Halaf na nyie wa Michongo mmeuchuna kimyaaaaaa,Yanga tulitoa Sare Tatu tu, kelele kibao na mkatuandikia makala za kila aina.

Kwanza mlinielewa niliposema mwanzo wa msimu lile neno Return of the Champions?

Na ole wenu leo tukute Majivu CCM Kirumba.

Che Che Che 

Wanayaona Macho yao

Pumzi ya Kitonsa 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger