5/18/2022

Hamisa Mobetto Akataa Kumuiga Diamond Platnumz Katika Suala Hili

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

HAMISA Mobeto; ni mwanamitindo, muigizaji na msanii wa Bongo Fleva ambaye anasema kuwa wiki ijayo ataachia Extended Playst (EP) yake kisha itafuata albam.
Hamisa amesema; “Wiki ijayo natoa EP yangu, itakuwa ni ya kwanza tangu nimeanza safari yangu ya muziki, tulikuwa tunabishana kati ya kutoa albam au tutoe EP, kwa hiyo naona jambo limekimbilia kwenye EP.”
Alipoulizwa kama ametumia mtindo wa Diamond Platnumz ambaye ameachia EP yake, First of All (FOA) kisha itafuata albam, Hamisa amesema hajui hilo ila EP yake ni mipango ya menejimenti yake.

“Siwezi kujua huko kwingine lakini, tunatumaini kwa hilo kwa sababu nyimbo tunazo nyingi sana na kolabo zipo nyingi sana, kwa hiyo ni sisi tu kuchangua tutoe nini, tuache nini. Kwa hiyo lengo kubwa ni albam, lakini kwa ratiba yetu hairuhusu, hivyo tunatoa EP kwanza,” amesema Hamisa.
Hamisa aliingia rasmi kwenye muziki wa Bongo Fleva mwaka 2018 alipoa
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger