Ticker

6/recent/ticker-posts

Hamisa Mobetto Atoa Onyo KALI "Ntakao Waalika Kwenye Hafla Yangu Naomba Mpendeze"

Hamisa Mobetto


Mwanamitindo na msanii wa muziki wa Bongo Fleva Hamisa mobetto amewataka waalikwa wote watakao hudhuria siku ya usikilizaji wa Ep yake kuvaa na kupendeza.

Ep hiyo itasikilizwa Ijumaa Hii Mei 20,2020 Masaki Jijini Dar es Salaam.

kupitia ukurasa wake wa snapchart hamisa mobetto ameandika...✍️

"wapenzi mnaokuja kwenye Listerning Part ya Ep yangu Ijumaa naombeni mpendeze jamani.. slayyyyyy"

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments