5/04/2022

Harmonize Anunua Range Mbili Kama Zawadi Kusamehewa na Kajala


Kutoka insta story ya mwanamuziki Harmonize ameweka wazi kumnunulia aliyekua mpenzi wake Kajala gari nyingine aina ya range ,kama zawadi ikiwa ni gari la pili la aina hiyo kwa ajili yake.

Harmo ametaja kununua gari hizo (nyeusi & nyeupe) kama zawadi akiendelea kuomba msamaha kwa aliyekua mpenzi wake huyo.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger