HARMONIZE Atoa Mpya Kwa Kusema Haya "Nitakufa na KAJALA, siwezi kuanzisha mahusiano mapya"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya muda Mrefu kupita, Kajala akiwa amemblock msanii Harnonzie kwenye ukurasa wake wa Instagram na Konde Boy kuomba mtu yeyote amwambie Kajala amuunblock msanii huyo, Hatimaye kifungo hicho kimeisha.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kwa mara ya kwanza Msanii Harmonize ameshare picha ya Kajala na kuweza kumtag/mention, huku akiisindikizia caption kuwa anawezaje kumpenda mtu mwingine mpya wakati kila usiku umuota Kajala?, Ni mwanamke ninayeenda kufa naye.

Say Something nice plz❤❤

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad