Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPA
Mwanamuziki nyota nchini, @harmonize_tz ametangaza kuja na brand yake ya sigara.
Kupitia insta-story yake, Harmonize ameandika
“Nahitaji jina kwa ajili ya brand yangu ya sigara
Maana kila chocho kila mtu anakohoa” - Harmonize
Je unamshauri Harmo atumie jina gani kwenye hiyo brand yake?
0 Blogger:
Post a Comment